MECHI 23 tu zimetosha kwa Simba kuamini kiungo wake fundi Jean Charles Ahoua ni mali inayotakiwa kulindwa ipasavyo na ...
PEP Guardiola amedai hana sababu ya kulalamikia ratiba ngumu inayoikabili Manchester City kwa mwezi huu wa Februari kwa ...
LIGI Kuu Bara inazidi kupaa na kuonekana kuwa mojawapo ya ligi zenye nguvu katika Afrika. Kwa sasa Ligi hiyo inashika nafasi ...
JANUARI 31, 2025, wachezaji 14 walitangazwa kuwa wachezaji wa akiba kwa ajili ya mchezo wa All-Star wa NBA utakaopigwa ...
KOCHA Ruben Amorim anataka Kobbie Mainoo na Alejandro Garnacho wabaki kwenye kikosi cha Manchester United kwa ajili ya hatima ...
NI wazi kuwa Barakah The Prince ni miongoni mwa wanamuziki waliojaliwa vipaji vikubwa hasa upande wa uandishi, sauti na ...
MWENYEKITI wa Klabu ya Coastal Union, Muhsin Ramadhan Hassan, ameteua Kamati ya Kudumu klabuni hapo ikiwa zimepita takribani ...
KAMA kuna kitu kinasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga kwenye soka la wanawake ni timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 ...
MANCHESTER City imeripotiwa kumuacha kiungo Kevin De Bruyne aamue mwenyewe hatima yake kama anataka kubaki au kuondoka.
NGOJA tuone leo itakuwaje pale ambapo Tabora United, vijana wa kocha Anicet Kiazayidi watakapokuwa wenyeji wa Simba inayonolewa na Fadlu Davids katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ...
MANCHESTER City inasema huko kwenu Erling Haaland atakabwa na nani...Arsenal inajibu huku kwetu yupo Gabriel Magalhaes haachi kitu.